Haahaaa....nataka option nyingine, AC naiwasha nadra sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini bint mzuri wafanya hivyo?? Kama kuna shida sema nitoe msaada haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaaa....nataka option nyingine, AC naiwasha nadra sana[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole, mara nyingi changamoto husika hutokea pindi unapofunga vioo hadi mwisho kukwepa kuloa ilihali hujawasha Air condition.habari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana kana kwamba hakuna mvua je ni mbinu gani hasa zinazo tumika ili kuhakikisha kioo cha mbele kinakua kikavu (bila ukungu kwa ndani)?, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwasha hiko ndo ukungu unazidi, actually huwa vipo kioo cha nyuma na sio real mirrorKuna kile kidude cha warm ness washa hicho ukungu unapotea
Nikumbushe kesho nikuoneshe, kwangu vipo vyote!....angalia gari lako sehemu ya AC utaviona, nahisi pia nishawahi viona kwenye gari lako!Si magari yote ya hicho kidude !!!!
Not such extent mkuu[emoji1787][emoji1787]...kiuhalisia AC inaniumiza kifua na pua, so siitumii/ siipendi kivileKwanini bint mzuri wafanya hivyo?? Kama kuna shida sema nitoe msaada haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mwanichanganya sasa[emoji86][emoji86][emoji86]...mbona mi kwangu viko vyote hivyo vibutton cha mbele na nyuma, Ila Kuna kimojawapo ukikibonyeza tu kinawaka kwa pamoja na AC!Ukiwasha hiko ndo ukungu unazidi, actually huwa vipo kioo cha nyuma na sio real mirror
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa kioo cha mbelehabari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana kana kwamba hakuna mvua je ni mbinu gani hasa zinazo tumika ili kuhakikisha kioo cha mbele kinakua kikavu (bila ukungu kwa ndani)?, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
unaonekana umenunua gari bila kulijua vizuri gari na vitu kama hivyo ni vidogo sana kuvijua kama mmiliki wa gari na dereva pia....kiufupi tuu nikuambie kuhusu kuutoa huo ukungu ni kwamba kuna switch ipo kwa ajili ya ukungu wa kioo cha mbele na cha nyuma ukiwasha hiyo switch ndani ta nusu dakika umetoka wote na inaonyesha watu wengi hawajui eti wanakuambia washa AChabari za leo ndugu wana jukwaa,
hua ninapata shida sana wakati wa mvua kuendesha gari maana kuna ukungu hua unatokea kwa ndani kwenye kioo cha mbele, hivyo huathiri kwa kiasi kikubwa uwezo wangu wa kuona barabara vizuri.
Lakini kwa upande wangu hali ikiwa hivyo wenzangu wananipita kwa kasi sana kana kwamba hakuna mvua je ni mbinu gani hasa zinazo tumika ili kuhakikisha kioo cha mbele kinakua kikavu (bila ukungu kwa ndani)?, natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikumbushe kesho nikuoneshe, kwangu vipo vyote!....angalia gari lako sehemu ya AC utaviona, nahisi pia nishawahi viona kwenye gari lako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh....yah sio magari yote vipo, hasa Yale ya zamani sijui kama wanavyoSikuwa na maana kuwa kwenye gari yako hakiko. nilikuwa nazungumza kwa ujumla tu.