kuendesha gari wakati wa mvua

Pole, mara nyingi changamoto husika hutokea pindi unapofunga vioo hadi mwisho kukwepa kuloa ilihali hujawasha Air condition.
Hivyo, inapotokea hali kama hiyo, funga vioo sawa ila washa aircontion kwenye gari yako, utaona tofauti.
 
Kama gari lina AC iwashe to mazmum, ama la sivyo kama gari ina spoiller za madirisha yafungue kidogo hadi level ya spoiler. Napenda sana kuendeaha gari mvua ikiwa inanyesha, na usiku pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa kioo cha mbele
 
unaonekana umenunua gari bila kulijua vizuri gari na vitu kama hivyo ni vidogo sana kuvijua kama mmiliki wa gari na dereva pia....kiufupi tuu nikuambie kuhusu kuutoa huo ukungu ni kwamba kuna switch ipo kwa ajili ya ukungu wa kioo cha mbele na cha nyuma ukiwasha hiyo switch ndani ta nusu dakika umetoka wote na inaonyesha watu wengi hawajui eti wanakuambia washa AC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…