Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani, Ujerumani na sasa China. Huko tunakoenda magari mengi used yatakuwa yanatoka kwa wachina, yatakuwa yanayoendeshwa kulia. Nchi tunazoendesha kushoto tutakuwa na magari machache sana ya kugombniana. Hii ni hasara sana kwetu.
Bluu Wanaendesha kushoto.
Nyekundu: Wanaendesha kulia.