Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani, Ujerumani na sasa China. Huko tunakoenda magari mengi used yatakuwa yanatoka kwa wachina, yatakuwa yanayoendeshwa kulia. Nchi tunazoendesha kushoto tutakuwa na magari machache sana ya kugombniana. Hii ni hasara sana kwetu.
Bluu Wanaendesha kushoto.
Nyekundu: Wanaendesha kulia.
View attachment 3100640
Siyo yote. Cheki Nigeria na Ghana. Ziliamua kujiongeza.Makoloni ya muingereza yanatumia mfumo wa Right hand drive kwa kumfuata Uingereza. Haihusiani na suala la maendeleo
Wakati wa Mjerumani tulikuwa tunaendesha upande gani?Sio tu kuendesha kushoto. Kwani punda tulikuwa tunaendeshaje? Sema hata magari ni hasara waliotuachia wakoloni.
Sisi tuliwa na TZ11 zetu tumewaachia wamasai.
One those minor things in the world. You can't take ownership of somebody else's discovery. kwahiyo kuna mambo tuwe wapole tuRais Kagame yeye alipongia madarakani akaitoa Rwanda iliyokuwa inatumia RHT (right hand traffic) system iliyoachwa na mfaransa akaamua kugeuza na kutumia ya Muingereza ya LHT kwa madai ufaransa ilisababisha mauaji ya kmbali ya Rwanda 1994 hivyo akafuta kila kitu kilichoachwa na Mfaransa kuanzia Road traffic system mpaka lugha ya kufundishia Mashuleni aka drop French na kutumia English
Alifanya vzur hasa hapo kwenye lugha,sio kama huyu ndugu yetu yeye akaamua kutuletea kiswahiliRais Kagame yeye alipongia madarakani akaitoa Rwanda iliyokuwa inatumia RHT (right hand traffic) system iliyoachwa na mfaransa akaamua kugeuza na kutumia ya Muingereza ya LHT kwa madai ufaransa ilisababisha mauaji ya kmbali ya Rwanda 1994 hivyo akafuta kila kitu kilichoachwa na Mfaransa kuanzia Road traffic system mpaka lugha ya kufundishia Mashuleni aka drop French na kutumia English
Hii ni faida, sababu hatuna ushindani mkubwa katika ununuzi wa magari..Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani, Ujerumani na sasa China. Huko tunakoenda magari mengi used yatakuwa yanatoka kwa wachina, yatakuwa yanayoendeshwa kulia. Nchi tunazoendesha kushoto tutakuwa na magari machache sana ya kugombniana. Hii ni hasara sana kwetu.
Bluu Wanaendesha kushoto.
Nyekundu: Wanaendesha kulia.
View attachment 3100640
Mbona magari ya LHD yanatumika?Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa kama wanunuzi wa magari yaliyotumika tunakosa magari mengi mazuri na rahisi kutoa Marekani, Ujerumani na sasa China. Huko tunakoenda magari mengi used yatakuwa yanatoka kwa wachina, yatakuwa yanayoendeshwa kulia. Nchi tunazoendesha kushoto tutakuwa na magari machache sana ya kugombniana. Hii ni hasara sana kwetu.
Bluu Wanaendesha kushoto.
Nyekundu: Wanaendesha kulia.
View attachment 3100640
Rwanda na burundi hadi kesho bado wanaendesha kwa kutumia upande wa kulia wa barabara, na gari zao ni left hand drive.Rais Kagame yeye alipongia madarakani akaitoa Rwanda iliyokuwa inatumia RHT (right hand traffic) system iliyoachwa na mfaransa akaamua kugeuza na kutumia ya Muingereza ya LHT kwa madai ufaransa ilisababisha mauaji ya kmbali ya Rwanda 1994 hivyo akafuta kila kitu kilichoachwa na Mfaransa kuanzia Road traffic system mpaka lugha ya kufundishia Mashuleni aka drop French na kutumia English
Ni mambo ya kusikitisha sana mkuu. Jamaa ametukana watu wote wanaotumia lhd kwa sababu tu ya kuvizia magari used.Maneno yote hayo kumbe unavizia magari used
Ni mambo ya kusikitisha sana mkuu. Jamaa ametukana watu wote wanaotumia lhd kwa sababu tu ya kuvizia magari used.