Kuendesha magari kushoto ni moja ya hasara tuliyoachiwa na mkoloni.

Hii ni faida, sababu hatuna ushindani mkubwa katika ununuzi wa magari..
Hayapo mengi ukilinganisha na wahitaji. Asilimia 75 ya watu wanatumia magari RHD. Kwa sisi wanunua used ni nchi ya Japan pekee ndiye mtengenezaji na mtumiaji wa maana, na UK kidogo ndiyo tunaweza kimbilia. Ingekuwa kinyume chake tungepata used kutoka US, Germany, France, China nk nk.
 
Hayawezi kuadimika hata ikitokea hivyo ni fursa hiyo tutafungua workshop za conversion LHD ➡️ RHD
 
Na
Naona Japan ni WA blue, na tuna uhakika na haya magari.

Toyota
Nissan
Subaru
Mitsubishi
Mazda
Suzuki

Pia muingereza ambae katupa huo mfumo, tuna uhakika na haya magari

Jaguar
Land lovers
Bentley
Rolls Royce
Ineos Granadier
 
Wote uliowataja, wanatengeneza magari yao. Je si wakati muafaka basi tukatengeneza yetu ili kuepuka hiyo hasara?
 
Wote uliowataja, wanatengeneza magari yao. Je si wakati muafaka basi tukatengeneza yetu ili kuepuka hiyo hasara?
Ni malengo mazuri sana. Tuanze hata na bajaji.
 
So siyo wote waliotawaliwa na Uingereza wanaendesha kushoto. Kuna sababu nyingine kwa nini nchi zinaendesha kushoto au kulia.
Wengi waliotawaliwq na muingereza walibaki na RHD ila wengine walihamia LHD kutokana na ukanda waliopo kubase zaidi kwenye LHD mfano Nigeria na Ghana
 
Kwani uingereza yeye anaendeshea wapi kulia au kushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…