The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wapo wanaosema kuwa mama anaandaa watu wake na kutosa watu wa Jiwe aliiyemtengeneza. Hata hivyo, ukiangalia majina ya waliotoswa, unashangaa. Mfano, January Makamba hakuwa mtu wa jiwe. Luhaga Mpina alikuwa mtu wa Jiwe sawa na Mrisho Gambo.
Chawa Daudi Albert Bashite alikuwa mtu wa jiwe japo anasemekana ndiye aliyempendekeza mama. Je hapa kuna ukweli au ni woga wa mama na waliomzunguka?
Ukiangalia kwa makini, ni kama JK anatawala nchi kwa mlango wa nyuma. Je anayaondoa watu wa Jiwe ni mama au JK? Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa CCM?
Je, watafanikiwa kumfuta Jiwe? Ni kweli kuwa JK alimuunga mkono Jiwe au al istuka baada ya kukuta amemtumia na kuingilia na kuvuruga ulaji wa CCM?