Za ndaani zinasema kwamba Jk amehakikisha wamemweka NCHIMBI kama mgombea mwenza sababu anaonekana atakuwa tishio kwa Rizone na Makamba ifikapo 2030. Ushawishi wake utakuwa mkubwa kuwa mhombea urais 2030. Na Kwa sababu ukisha kuwa Vice Prezdent utakuwa umekosa sifa ya kugombea uraisi kulingana na katiba ya ccm.
Kwanini Makamba atoswe, kulikuwa na makubaliano kati ya familia mbili ya JK na Makamba juu ya uraisi 2030 lkn baadae kukawa na kutokuelewana kwamba nani aanze January au Riz. Kuna kusalitiana hapa.
Kule BUMBULI amini kwamba January hakukataliwa kiasi hicho bali ni matokeo ya ugomvi kati ya Makamba na JK families. Motion ya kukataliwa kwa Makamba imetengenezwa.
Mama nae imebidi amtose January kutokana na nguvu ya mshika remote ya Tv.
Kwahiyo basi ACT pia wana makubaliano na Ccm na inaonekana Mpina ameandaliwa na alijiandaa mapema kutengeneza mazingira ya upinzani. Japo watu wanaamini Mpina ni mtu wa Magufuli lakini siasa hubadilika kutokana na upepo,wakati na mazingira.
Waliohama CHADEMA wote walilipwa mamilioni ya pesa ili kujenga upinzani feki na kuhalalisha uchaguzi huu wa 2025.
Michezo mingi Mbowe anahusika katika ujenzi wake.
Nb: huu ni uchaguzi wa chama kimoja. Kuna hata mgombea mmoja mzee wa kiislam anagombea uraisi lakini ana sema hakuna wa kuiondoa ccm amadarakani.
SI LAZIMA UKISOMA UKOMENTI HAPA!