Safe days ni siku 11 lakini unahesabu kuanzia pale unaanza period, maximum siku za breed ni tano lakini wengine wanatumia siku nne au zaidi ya tano kwa hiyo siku 6 zilizobaki hapo unapiga mzigo kavu bila wasi. Baada ya hapo unaweza kuwa unapiga then unamwaga nje au unatumia kondomu. Angalizo hiyo ya kumwaganje kuwa makini nayo sana wakati wa kurudia tendo maana unaweza ukaingiza na vijimbegu vilivyobakia kwenye uume