sajumo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,834
- 1,055
Wakuu naomba msaada maana nimezungumza na watu kadhaa kuhusu hii njia ya kuzuia mimba kupitia tarehe lakini inanipa shida maana kila mtu ananitajia tarehe zake na wa mwiso alinambia ni siku ya kumi npaka ya kuni na nne ndio posible days huku mmoja kaniambia ni kuanzia siku ya kwanza mpaka saba kisha inafuata safe siku saba huyu alinichanganya kabisa nnalea wandugu nisaidieni