...hii kampuni inalalamikiwa kila kukicha!lakini pia kila kukicha watu wapya wanajiunga...ni kwamba pia tigo inapendwa au?
ndugu iyo ni kweli na ukifika wanakwambia tu "inabidi ubadili simcard yako"...tatizo?..."huwa inatokeaga tu ivyo"....alaaah!bito imejaa jameni njoni huku!
Ni aina yao ya kuibia watu hii............kama haitoshi unaambiwa ulipie laini mpya..........mimi nimerenew 2,000 kwa wakala wao!INAKERA SAANA
Nani kasema mimi nihame Tigo? Kuna raha za ajabu ukitumia Tigo jamani.
mmmmmmmh!!!!!!!!