Kuezeka kwa Vigae kumepitwa na wakati?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Siku hizi watu/matajiri hawaezeki kabisa kwa vigae. Shida nini? "Pale penye nyumba ya vigae, nje kuna Prado na Musso" hapapo tena.

Kwa maoni yangu vigae vina class yake ambayo haichuji. Sasa imekuwaje havitumiki tena?Kuezekea.

Au kumepitwa na wakati? Juzi wakenya wameboresha ikulu yao.

Wametoa vigae wameweka bati


 
Kwani tofauti ya gharama kati ya kuezeka na vigae na aliezeka na bati ni nini na lifespan kati ya vigae na bati utofauti wake ukoje,uimara wa kigae compare na bati ukoje ukizingatia nyumba zetu mara mtu kapanda kugonga dish n.k ukoje?
 
Oh okay sw.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…