Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi.

Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.

IMG-20240114-WA0082.jpg
IMG-20240114-WA0081.jpg
 
Kanda hiyo radi zinauwa kila mwaka.
Tatizo ni nini?
Wabobezi wa sayansi watufafanulie.

Wapi haziuwi ndugu, hizo zaua hadi marekani. Mwaka jana tu iliuwa maeneo ya Ubungo Kibo.

Miaka fulani nyuma ikauwa askari mlinzi, guard kwa Museveni nyumbani kwake naye akiwapo.

Hilo janga halina mwenyewe.

Hiyo mbombombo isikie tu ikiwa imeshapita.
 
Back
Top Bottom