Papaa Mobimba JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 882 Reaction score 3,337 Jan 14, 2024 #1 Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Jan 14, 2024 #2 Mwe ya swanga yapo hata huko?
Dexta JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 2,096 Reaction score 5,211 Jan 14, 2024 #3 Mpaka kumaliza huo mgao, lazima kuna ugomvi uliibuka.
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Jan 14, 2024 #4 Mamndenyi said: Mwe ya swanga yapo hata huko? Click to expand... Radi Mkoa wa Rukwa na visiwa vya ukerewe ndio kilipo kiwanda cha kutengenezea radi
Mamndenyi said: Mwe ya swanga yapo hata huko? Click to expand... Radi Mkoa wa Rukwa na visiwa vya ukerewe ndio kilipo kiwanda cha kutengenezea radi
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Jan 14, 2024 #5 Kanda hiyo radi zinauwa kila mwaka. Tatizo ni nini? Wabobezi wa sayansi watufafanulie.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jan 14, 2024 #6 hapo wamegawana mzoga
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Jan 14, 2024 #7 zandrano said: Kanda hiyo radi zinauwa kila mwaka. Tatizo ni nini? Wabobezi wa sayansi watufafanulie. Click to expand... Wapi haziuwi ndugu, hizo zaua hadi marekani. Mwaka jana tu iliuwa maeneo ya Ubungo Kibo. Miaka fulani nyuma ikauwa askari mlinzi, guard kwa Museveni nyumbani kwake naye akiwapo. Hilo janga halina mwenyewe. Hiyo mbombombo isikie tu ikiwa imeshapita.
zandrano said: Kanda hiyo radi zinauwa kila mwaka. Tatizo ni nini? Wabobezi wa sayansi watufafanulie. Click to expand... Wapi haziuwi ndugu, hizo zaua hadi marekani. Mwaka jana tu iliuwa maeneo ya Ubungo Kibo. Miaka fulani nyuma ikauwa askari mlinzi, guard kwa Museveni nyumbani kwake naye akiwapo. Hilo janga halina mwenyewe. Hiyo mbombombo isikie tu ikiwa imeshapita.