Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?

Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.

Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala wazazi wenye time nayo.
 
1.Elimu ya Sekondari sasa hivi haina thamani upambane na mtoto wako tuition halafu aje akae tu nyumbani.

2. Mitihani ya Taifa sasa hivi ni rahisi mno ufaulu umekuwa kitu Cha kawaida sana. Zero ya 2010 kushuka chini ndio daraja la tatu sasa hivi.

3. Sekondari sasa ni Elimu Msingi ( Elimu ya lazima Kila mtu lazima awe nayo) hivyo Kila mtu lazima aipate.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
samia anafanya ufisadi tu nyie mtajijua na mitaala yenu iliyopitwa na wakati
 
Back
Top Bottom