Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
1.Elimu ya Sekondari sasa hivi haina thamani upambane na mtoto wako tuition halafu aje akae tu nyumbani.Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari?
Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu.
Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala wazazi wenye time nayo.