kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Za asubuhi wana jamvi
Kwanza kabisa napenda kukubali na kufaham juhudi za marehemu kanumba kwenye kiwanda cha filamu bongo. Kipindi kanumba yupo hai bongo movie ndo industry iliyokuwa inauza sana kuliko hata mziki wasanii wa movie walikuwa wanatengeneza pesa mingi sana.
Lakini hapa kati soko la movie limeyumba sana kupelekea watu kuhisi kuwa labda kufa kwa kanumba ndo kumesababisha kuchuja kwa soko la movie bongo, watu inafikia kudai ray naye alikuwa anatembelea nyota ya kanumba ndo maana hafanyi vizuri asa iv. Lakini ukweli kifo cha kanumba hakina uhusiano wowote na kufa kwa hiki kiwanda cha movie.
Naweza sema ni wakati tu ndo ulikuwa umewadia kwa kiwanda cha mziki ku-shine. Hata kanumba angekuwepo hai leo asingefanya chcht maana muda ni ukuta huwezi bishana nao. Leo hii angalia hakuna filam zilizokuwa zinauza kama filam za nigeria kwa hapa afrika, lakini angalia kwa asa iv bado zipo kwny peek ile ile au nazo zimefifia kama bongo tu. So mtuambie sasa sijui huko nako nani amkekufa na akasababisha kushuka kwa soko la filam nigeria.
Watu siku izi hawashoboki tena na filam za kiafrika iwe za nigeria, ghana au tanzania zote chali mziki ndo unakimbiza na series za korea. So kuwepo au kutokuwepo kwa kanumba hakina uhusiano wowte na kufa kwa bongo hata yeye angekuwepo kwa asa ivi angechemuka tu.
Peace.