Kufa kwa Kanumba siyo chanzo cha kufifia kwa soko la Bongo Movie

Kufa kwa Kanumba siyo chanzo cha kufifia kwa soko la Bongo Movie

Hilo mambo Ni 50 kwa 50 Kuna upande kifo cha kanumba kimesababisha kushuka kwa bongo movie poa upande mwingine Ni kutokana Na mabadiliko ya kiteknolojia kutoka dvd hadi youtube Na hii imechagizwa Na matumizi ya mtandao kupitia smartphones
Hapo nimekupata mkuu
 
Filamu Za ki-nigeria zipo katika levels nyingine world wide sio Kama Za bongo
 
Back
Top Bottom