Kutoka kuamka ndo amejikuta sauti imeondoka bac aliumwa akiwa usingizin na homa kali ndomana amejikuta mwili umechoka,,,,,, hapo itabidi atumie dawa za miti itamsaidia asitafune tangawizi mbichi kwan tangawizi n kali kiafya ushahuliwi vitu vkali katka mwili vna effect kubwa sana sitaweza elezea hapa,,,, ila mwambie kwa case ya sauti anunue asali mbichi achanganye na kijiko kimoja cha tangawizi ya unga asitie nyng,,,,,anunue mafuta ya mzaitun atie vijiko viwili vikubwa kisha atumie asubuh mchana na jioni,,,,kama akiona hawez bac ale yai bich kama anaweza kisha kuumwa na mwili anaweza kuchukua majan ya mwarobaini na ya mpele si mbaya akatie kifumbasi kama anakijua kisha akashemsha na kujifukiza mara tatu atakuwa fresh na hata kama alikuwa anayemelewa na homa itaondoka