malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,319
- 520
wataalamu naombeni mnisaidie ni nini hasa chanzo cha mtu kupoteza sauti? rafiki yangu kanitaarifu kaamka leo sauti haitoki vizuri na anahisi maumivu ya mwili mzima, ni nini tatizo wadau?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah, nilipoiona title nikadhani unazungumzia watu wanaokufa kwa kupiga kelele kwa sauti kubwa! Anyway, mimi nitarudi kuona weledi wanasemaji[h=2]kufa kwa sauti[/h]
Daah, nilipoiona title nikadhani unazungumzia watu wanaokufa kwa kupiga kelele kwa sauti kubwa! Anyway, mimi nitarudi kuona weledi wanasemaji
Daah, ile kitu achana nayo, jamaa wangekuwa wanarudi kidogo kutusimulia inavyotokea, walau tungeshusha pumziHahahhaa. Unawaza na kuogopa kufa eeh?
Pata picha.
wataalamu naombeni mnisaidie ni nini hasa chanzo cha mtu kupoteza sauti? rafiki yangu kanitaarifu kaamka leo sauti haitoki vizuri na anahisi maumivu ya mwili mzima, ni nini tatizo wadau?
nashukuru kwa ushauri wako mzurisubiri mkuu mzizimkavu aje atoe darasa. Ila mwambie atafune tangawizi mbichi itamsaidia.