Uchaguzi 2020 Kufa kwa Sekta Binafsi na Makampuni ya Ujenzi ya ndani ndio kunanifanya nimpe kura Lissu

Asante sana kwa elimu nzuri mkuu Gerald .M Magembe
Tanzania kama nchi tulipotea vibaya na ninadhani tungeendelea na ile mipango tuliokua nao isingechukua uchumi ungecollapse kabisa na nchi ingekua kwenye hali mbaya sana. Uchumi wa makaratasi bila kuwa na miundombinu ya kutumia rasilimali zetu kuzalisha mali sio kabisa.

Kuboresha uchumi ni kama kupata tiba, dawa inaweza kuwa chungu lakini hakuna namna, wote tnapitia maumivu ya mabadiliko ya uchumi kwa manufaa ya nchi yetu na vizazi vijavyo

Siku watanzania tutaamka na kuelewa hili tutaacha kuinyooshea serikali vidole na kuanza kuona fursa mpya kupitia miundo mbinu iliyowekwa au kuboreshwa tunaweza kujikuta sehemu bora zaidi kama nchi na hata mtu binafsi, na tutakuja shukuru kwamba mabadiliko yametuingiza kwenye uchumi halisi na uchumi endelevu.
 

Nafikiri ndio maana mishahara haikuongezwa, Mifuko ya akiba ya uzeeni kuunganiswa ili kuwa na mfumo sahihi wa kuiendesha, mfumo wa Tender kudhibitiwa, na mengi tuu.

Lakini lazima tutafute mpango wa kuweka dona juu ya meza kwa kila mmoja wetu. Tutapata njia kama Taifa.
 
Na bado mabadiliko mengi yanakuja yote ikiwa ni katika kuboresha. Njia ya kuweka done mezani itapatikana tuu sababu hakuna nchi wala uchumi bila watu wake. Ubishi wa kupokea mabadiliko unatokana na mazoea ila hakuna namna
 
Hakuna haja ya kuendelea kukuelewesha sabab ushachagua kutokusikiliza.

Siasa sio mpira, usikariri
 
Labda uchumi wa kati ya miguu.
 
Umewaambia ukweli, idadi kubwa ya wanaojiita wapinzani wanaomchukia John Pombe Magufuli kwa nguvu zote ni wale waliokua hata hawalipi hizo kodi. Wengi waligeuza hizo mbinu zao haramu kuwa halali na hapakua na wa kuwashurtisha chochote.
Wakati huu wa kujenga uchumi endelevu wengi tutapitia maumivu ila tuvumiliane tuu kwa faida ya nchi yetu na vizazi vijavyo

Maendeleo hayana vyama๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
nlikuwa natafta hii link
 
Wengine trh 28 tunaona sawa na miaka 8 twatamani hata iwe kesho ili tulipe kisasi Cha kusomeshwa namba
 
Kulipa Kodi si ttzo,ttzo inapotumika pasipo na tija zaidi ya kuwafurahisha watawala badala ya vipaumbele vya walipa kodi.
 
Kulipa Kodi si ttzo,ttzo inapotumika pasipo na tija zaidi ya kuwafurahisha watawala badala ya vipaumbele vya walipa kodi.
Ulikwepa kodi nyingi mnoo na wewe, hebu lipalipa kidogo japo ufidie๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Sekta binafsi ndo injini ya uchumi wa nchi, lakini hapa kwetu inaendelea kufwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ