Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Yani sasa hivi ukitaka kwenda jela tukana Rais. Hii ni moja ya dalili ya mwisho kwa nchi zilizokosa utawala wa haki au chama kujiogopa ili kubakia nafasi yao.
Nchi zilizofanya haya moja wapo Tanzania inakaribia ukingoni. Yaani sasa hivi chama au Rais hata mimi kaka yake shetani siogopwi sababu sio mtawala.
Nukuu
Umaskini huzaa uwoga na uwoga huzaa ujinga na ujinga huzaa unafiki na mwisho wa yote huzaa vita yenye majuto.