Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Tuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM

FUGA BROILER mwenyewe!

Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!

Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha

Tupeane fursa wakuu,
 
Watoto hao, under 18 utawajua tu
 
Kipindi nipo chuo nilikuwa na mawazo kama yako na nilivyokuwa nasoma vitabu vya akina kiyosaki na chase nikimuona mtu hana ajira au hana pesa nilikuwa namchukulia negative sana...
Baada ya kumaliza chuo nakuanza rasmi mishe za mtaani mmh....mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM

FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!

Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha

Tupeane fursa wakuu,
Muda wa Kufuga, kuuza, na kukaanga utaupata wapi au itabidi uwe na wafanyakazi ?

Na vipi usipouza na hao broiler wanakuwa tu hakuna mortality wala changamoto yoyote ?, na kila mtu anao uwezo wa kupata nafasi hapo stand ? au ushaulizia bei ya location hapo stand ?

In short unaweza ukajikuta badala ya utajiri inakuwa a shortcut to poor-man's house
 
niliona pale barabara ya Namirembe Kampala jioni jioni kunakuwa na kukuchoma
 
Back
Top Bottom