Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nlisoma kitabu cha Kiyosaki almanusura niache kazii...Kipindi nipo chuo nilikuwa na mawazo kama yako na nilivyokuwa nasoma vitabu vya akina kiyosaki na chase nikimuona mtu hana ajira au hana pesa nilikuwa namchukulia negative sana...
Baada ya kumaliza chuo nakuanza rasmi mishe za mtaani mmh....mamaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
"Aliyelala usimuamshe......."Tuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha
Tupeane fursa wakuu,
Hapo panaitwa CHICKEN TONIGHT ndio chimbo langu kiongozi. Ila nikiwa bongo simalizi kuku mzima. Ilo hapo kama upepo tuniliona pale barabara ya Namirembe Kampala jioni jioni kunakuwa na kukuchoma
Kama mahali hapo biashara inapamba moto tushtuane mkuu, watu tuje kuweka kambi!Hapo panaitwa CHICKEN TONIGHT ndio chimbo langu kiongozi. Ila nikiwa bongo simalizi kuku mzima. Ilo hapo kama upepo tu
Kwa hayo makasiriko mbona inaonyesha wewe ndo unapitia kipindi kigumu?Mpumbavuuu flani hv
Hama hapo kwa shemeji kenge wewe
Inawezekana ni kweliKwa hayo makasiriko mbona inaonyesha wewe ndo unapitia kipindi kigumu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje...Habari,kuna mtu anayefaham kuhusu crypto bond na idea debatter?
Sasa mawazo yangu atatekeleza nani?Inawezekana ni kweli
Bas nakushauri tekeleza wazo la mleta mada mkuu
Hii zawadi mbona kama haimfai. Katoa wazo tena kwa makadirio kidogo tu 3,000 tujifunze kuheshimu mawazo ya wenzetu hata yale tusiyopenda kuyasikia.Mpumbavuuu flani hv
Hama hapo kwa shemeji kenge wewe
Tena kasi ya kimbunga[emoji28][emoji28]
Dunia inakwenda kasi sana!
Umesha ghairi kufuga kukuMwenye uzoefu na kazi ya kufuata samaki feri, kukaanga na kuwauza! Msaada tafadhari! Nahitaji maarifa, mimi nitaajiri wakaangaji!
DSM
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesha ghairi kufuga kuku
Au shemeji kakufukuza hapo hom