Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hasa ukiwa MwanamkeUlichosema ni kweli
Ila maisha sio marahisi kama unavyowaza
Tembea uyaone…..
Watoto hao, under 18 utawajua tuTuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha
Tupeane fursa wakuu,
Ya kwamba ukiwa mwanaume inakuaje?Hasa ukiwa Mwanamke
Muda wa Kufuga, kuuza, na kukaanga utaupata wapi au itabidi uwe na wafanyakazi ?Tuanze na hii! Ni nzuri kwa mkazi wa DSM
FUGA BROILER mwenyewe!
Wakishakuakua unaanza KUWAKAANGA eneo la stand unaweka na tundizi uchwara zile za mabibo za 50 50! Usisahau na tupilipili[emoji39]! Kuku mmoja unapata faida ya 3000 hapo minus operational costs! Ukiuza kuku 7 kwa siku una faida ya 21k!
Ukianza hii biashara nishtue nitakuja kukuungisha
Tupeane fursa wakuu,
[emoji23][emoji23][emoji23] loooo!Anajifunza kuwa motivation speaker
🤣🤣🤣Mpumbavuuu flani hv
Hama hapo kwa shemeji kenge wewe