Kufa masikini ni kujitakia! Kumbe fursa zipo!

Vyakula vya kuku bei juu bado chanjo na dawa mbali mbali
 
Umaskini huanzia kichwani mwa mtu, umepewa wazo si lazima ulichukue lote, mathalani kwenye uzi huu unaweza usifuge ila ukanunua na kukaanga huko mitaani, INALIPA!! Acheni ubishi na muanze kufanyia kazi mawazo ya bure mnayopewa! Inasikitisha ukipitia uzi km huu watu wanavyoleta ujuaji na kukata tamaa bila hata kujaribu. Aliyewaroga anywe maziwa fresh longido kwa wamasai, nakuja kulipa.
 
Mi nlisoma kitabu cha Kiyosaki almanusura niache kazii...

Nahisi kwa life la sasa ningeshafirka...
 
"Aliyelala usimuamshe......."
"Asiyejua maana usimwambie maana, ukimwambia maana atasema......."!
 
niliona pale barabara ya Namirembe Kampala jioni jioni kunakuwa na kukuchoma
Hapo panaitwa CHICKEN TONIGHT ndio chimbo langu kiongozi. Ila nikiwa bongo simalizi kuku mzima. Ilo hapo kama upepo tu
 
Hapo panaitwa CHICKEN TONIGHT ndio chimbo langu kiongozi. Ila nikiwa bongo simalizi kuku mzima. Ilo hapo kama upepo tu
Kama mahali hapo biashara inapamba moto tushtuane mkuu, watu tuje kuweka kambi!
 
Habari,kuna mtu anayefaham kuhusu crypto bond na idea debatter?
 
[emoji28][emoji28]
Dunia inakwenda kasi sana!
Tena kasi ya kimbunga

Unatoa wazo bure, bando lako mwenyewe wanakupa za uso hadi unapotea njia. Daa! Tz tumelogwa si bure. Kwingine mawazo haya yanauzwa na wanaitwa maprofesa wa uchumi watalaam wa biashara kuyatoa kwa kiingilio.

Naililia Tanzania yangu[emoji24][emoji24]
 
Ufugaj wenyewe una changamoto zake usidhan watu wanapenda umaskin mkuu
Anyway ahsante kwa kutukumbusha
 
Huwa sielewi utofauti wa masikini na tajiri huko

Yaani kweli mtu ana Ng’ombe 500 analalia ngozi huku asubuhi analeta maziwa kwa Baiskeli tena Anita

Watoto hawaendi shule wanakula ugali asubuhi na kuanza kukamua

Halafu unajiuliza huyo ni anaevaa yebo yebo anamiliki mifugo zaidi ya 500? Ni mwehu, masikini, tahira, au tajiri?

Kwa Kweli mswahili mpaka sasa wengi hawajui maisha ni nini
Wengine ni kuamka na kulala tu
 
Mwenye uzoefu na kazi ya kufuata samaki feri, kukaanga na kuwauza! Msaada tafadhari! Nahitaji maarifa, mimi nitaajiri wakaangaji!
DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…