raxx
JF-Expert Member
- Apr 9, 2016
- 326
- 284
Mbona jibu rahisi tuu japo sio mwanasayansiukirejea post ya nuyma anasema kuwa kuacha kufanya kazi kwa brain sio sululisho la mtu kufa ndio maana madaktari bingwa wanaweza kukufanyia operation ya ubongo..
Kufanyiwa operation ya ubongo unaweza usife....
inategemea na ubongo gani wana deal nao kama ule wa mambo ya hiari hapo uwezekano wa kufa mdogo...
Lakini wakikusa ubongo unaoshuhulikia mambo yasio ya hiari mfano. Digestion system, heart beats, respiratory system hapo kufa ni kugusa tu.