The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu,unajua huyu dogo hana maisha nje ya JF,Dogo anahangaika hata kuku anayetaka kutaga akasome; na anajiona ni mtu wa muhimu sana na anayejua kila kitu. Ni bingwa mzuri pia wa kuporomosha matusi ego yake ikitekenywa. Bila shaka atakuwa anasumbuliwa na Narcistic Personality Disorder (NPD). Inasikitisha sana hasa ukizingatia kuwa NPD huwa haina tiba. Itabidi tu tumzoee! 😭
Sasa nimefika hatua ya kuanza kusahwishi watu wasichangie sio😂😂😂😂Mkuu,unajua huyu dogo hana maisha nje ya JF,
Inaonekana hata watu wa karibu yake hawamjali tena na walisha mtelekeza,
Jamii iliyomzunguka haimpi umuhimu wowote ule na walisha mdharau,
So,faraja yake pekee imebaki ni humu JF tu,akifungua hivi vinyuzi na watu wakachangia,basi na yeye anafarijika na kujiona kumbe bado ni mtu,ila hii ni faraja ya muda tu,huyu dogo ana tatizo kubwa sana,na kibaya zaidi,yeye ana amini yupo sawa,ukisoma nyuzi zake,matatizo yake yalianzia kwenye malezi ya ukuaji wake,
Nafikiri huyu ni wa kuachwa tu,hata hivi vinyuzi vyake,hakuna haja ya kuchangia pia.
HIvi unajua NPD kweli mkuu?
Well bado haujajuwa, chochote.
Mimi ungesema ni attention seeker sawa ila NPD unakuwa umekisia mbali sana
Tatizo lako ni kubwa sana kuliko hata nilivyokua nafikiria,Well bado haujajuwa, chochote.
Mimi ungesema ni attention seeker sawa ila NPD unakuwa umekisia mbali sana
Anaona aibu😷,huyu dogo anajipa umuhimu sana😷Kumbe anaingia jf vizuri tu, kucomment ndo hataki
Mbona unamahangaiko hivi mkuu? 😂Tatizo lako ni kubwa sana kuliko hata nilivyokua nafikiria,
Kabla ya dakika chache tu umeanzisha uzi na kusema '''Wanao dhani kua wewe ni attention seeker,wanakosea sana''
Halafu hapa unakubali kua wewe ni attention seeker!
Dogo una tatizo kubwa sana la kiakili,sikiliza wakubwa na wataalamu humu ili utafute tiba.
Tangu nianze kusoma nyuzi zako za kuaga huu unafika wa saba.Anyways, nadhani nilicho andika kimewafikia so, nimenawa mikono.
Angevumilia hata wiki mi ningemuanzishia uzi tatizo ye amekaa masaa 24 tu amesharuka JF.Dogo alidhani akiondoka kuna mtu ataanzisha uzi kummisi, kaona hola basi karudi mwenyewe.
Siku si nyingi anakuja na id mpya kujipakulia minyama.
It’s not that deep….. Mimi ni mwalimu, i’m very accommodating… Huwa nakupa tu floor ya kuperfom whatever you are up to!Mtu pekee aliye kuja kunielewa vizuri na kujua madhumuni ya gu humu kwa uchache sana ni binti kiziwi na mwanzo Ali jaribu kuni shut down ila aliishia kuwa disappointed.
Ila baada ya hapo akaacha kunigawia energy yake kizembe na anajua fika kuna some sort of power niliyo nayo na limits zake kwa uchache, Kongole kwako binti kiziwi