Kufahamiana [JF Identities] - Faida na Hasara [?]

Hahahahaha UNALO.
Sio unajifanya hapa JF we matawi wakati hata pesa ya mshumaa huna. Kila siku unadoea kwa jirani.
Hahahaha!!!!

Lizzy namjua sana yule asikwambie mtu shuleni alikuwa akipigwa anakimbilia kwangu leo hii anajifanya sista du kweli kwa vile anafanya kazi BOT...

Smile utaniambia nini kuhusu yeye namjua IN and OUT kipindi ananiomba nauli ya kwenda shule sasa hivi kapata kazi ana gari anajifanya kuniwekea tinted.

The Boss nilikuwa namtuma sigara dukani daily sasa hivi kawa kijana mkubwa basi tabu tupu kweli kapata visenti hata kusalimia hamna.

Nyani Ngabu tokea arudi kutoka States dah kutuchunia kweli sijui anatuchukulia poa kwa vile kapiga shule lakini asikwambie mtu tulikuwa tunakula nae mihogo hapa daily

Kongosho namjua sana yule mtoto mdogo haniambii chochote nimembeba sana wakati analialia.

EMT namjua sana nimemsaidia sana wakati anakuja analala sana nyumbani siku hizi kajenga basi anajiona mjanja kweli.

:lol::lol::eyebrows:
 
Unaona, niko via mobile lakini imebidi niende cafe nikagonge LIKE hapa
Mi sio mchoyo wa like, nazidi kupruvu wrong ile assumption

Shika adabu yako. Mimi ndo Raisi wa Wabeba Maboksi. Wewe ndo unatakiwa kutaka kukutana na mimi na si kinyume chake. Kukutana na mimi ni bonge la ujiko. Mara tu ukutanapo na mimi moja kwa moja unapanda daraja.
 
Reactions: EMT
na ninakubalikaje? weweeeeeeeee

yaani unakuwa proud of yourself na wala usiruhusu kujiona kuwa wewe hufai ila unafaa sana
Hata kama una lolote ambalo haliko sawa jikubali
 
labda sema mimihuwa mnaniona sema mimi siwaoni
akili kichwani mwako

Kwa staili kuna haja ya wewe pia kufanya extra communication. Au sie tucheki na Wachina?
 
Hahahaha!!!!

Lizzy namjua sana yule asikwambie mtu shuleni alikuwa akipigwa anakimbilia kwangu leo hii anajifanya sista du kweli kwa vile anafanya kazi BOT...

:lol::lol::eyebrows:
Eti unanijua? Wakunijua utakua wewe?
Tafuta saizi yako, mi matawi mzizi haunigusi.
 
Sasa mods watajuaje hiyo connection yote?
Hadi mhusika alalamike kwa kufuata utaratibu

Eti unanijua? Wakunijua utakua wewe?
Tafuta saizi yako, mi matawi mzizi haunigusi.

TF usimuone anaringa yule
Ile kazi ni mimi nilimpigia chapuo ndo akaajiriwa pale
Siku hizi hata kunisalimia hataki na akipita na gari yake ananifungia viooo :lol:
 
TF usimuone anaringa yule
Ile kazi ni mimi nilimpigia chapuo ndo akaajiriwa pale
Siku hizi hata kunisalimia hataki na akipita na gari yake ananifungia viooo :lol:
Mimi kwanza hunijui wala sikujui nashangaa sana unaposema ulinitafutia kazi...:lol:
 
Utaachaje kunibeba wakati ulikuwa shamba boy wetu
Mshukuru baba alikutoa kwa kukuanzishia kamradi ka kuuza machungwa hapo Kariakoo
Sasa hivi unasafiri kwenda China na Dubai unajiona mjanja

Achana na mie kabisa
Kongosho namjua sana yule mtoto mdogo haniambii chochote nimembeba sana wakati analialia.

:lol::lol::eyebrows:
 
Wakati mwingine ni kutazama mambo kukaa kimya na kujisogeza mbali na watu wa sampuli za namna hii .Watu wengi tuna utu wa machoni lakini mioyoni ni mishetani tuliopitiliza.
Ubaya tabia ni kama upele huwa haijifichi.

TF usimuone anaringa yule
Ile kazi ni mimi nilimpigia chapuo ndo akaajiriwa pale
Siku hizi hata kunisalimia hataki na akipita na gari yake ananifungia viooo :lol:
 
Reactions: EMT
Mimi kwanza hunijui wala sikujui nashangaa sana unaposema ulinitafutia kazi...:lol:

Yaani leo unaniambia hunijui wakati mimi na wewe tulisoma shule moja ila wewe ukafaulu mimi nikaachwa
Na hiyo kazi unayofanya namjua boss wa hiyo kampuni na ni mimi nilikufanyia mpango hapo
 
Utaachaje kunibeba wakati ulikuwa shamba boy wetu
Mshukuru baba alikutoa kwa kukuanzishia kamradi ka kuuza machungwa hapo Kariakoo
Sasa hivi unasafiri kwenda China na Dubai unajiona mjanja

Achana na mie kabisa
Hahahaha!!! Muda si mrefu hii thread itageuka JF Udaku...lol
 
Kuna forum moja walikuwa na safety tips kuwa baada ya ku-develop uhusiano na member mwingine na ukaamua kumpa extra communication details unampa hizo details through a forum administrator and ask to pass them to the member you want to meet. Lakini forum administrator ata- pass over hizo details kwa huyo member only baada ya yeye kukubali pia ku-share details zake na wewe. Though naona ina sound absurd and too controlling. Haya mambo pia huwa yanatokea kule fesibu ambapo watu wanatumia majina yao.

Ni better those intending to meet to think through what meeting someone in person might mean for other parts of their system. If necessary wachukue precautions to be on the safe side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…