Mimi niko huku Mandazi Mawili kama kuna member yupo pande hzi tutafutaneIngependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.
Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
Wa Chuga mpoo...!
UmetumwaIngependeza zaidi kama ingetokea siku moja wana JamiiForums wa mkoa mmoja wangeweza kukutana ili wafahamiane na kuunda kitu kama jumuia hivi kwa ajili ya kupeana kampani pind litokeapo tatizo kama misiba ugonjwa na mengineyo. Umoja ni nguvu.
Huo ni mtazamo wangu wa ndugu.
Yaani wametuzoea kiasi hichi!this is too much sasa [emoji30]
Ndiyo maana tunatumia id fek ukijichanganya tu utajuaKwani unakataa kufahamika unataka uwe mtu usiejulikana?
Khaaa! Watakuwa wametumwa na mtu mkubwa sana!Naona baada ya kumbana melo kugonga mwamba sasa mmekuja kivingine sasa endeleeni maselule wenzenu mtayanyaka