Kwanza uwe na account ya apple.
Chagua kitu kwenye site yao.
Tafuta third party courier service kwa mfano myus.com kwa ajili ya kukupokelea bidhaa zako kwasababu wao hawaship bidhaa kwenda kwenye POBox's au AFO's.
Lazima uwe na card ya benki inayoruhusu kufanya online transactions.
Ukishanunua na kuingiza shipping na billing address unaweka details za kadi yako.
Then unamaliza.
Myus watapokea mzigo wako watawasiliana na wewe jinsi ya kukutumia mzigo wako.