Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mlimani city wamefungua apple store ya nguvu,kila kitu kipo,ila bei sake balaa na ziko quoted in US$,lakini utanunua katika Tsh.habari JF(S) ningependa kjua kwa yeyote mwnye uzoefu na mannuzi ya bdhaa from apple.com anisaidie jinsi ya kuziship tz.
habari JF(S) ningependa kjua kwa yeyote mwnye uzoefu na mannuzi ya bdhaa from apple.com anisaidie jinsi ya kuziship tz.