Kufanana sabuni za Lodge ni fursa

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
248
Reaction score
327
Kama wewe ni Msafiri sana wa maeneo mbali mbali na una lala katika Guest za kiafrika.

Tutakubaliana kuwa karibu maeneo mengi nyumba vyao vina sabuni za aina moja kwa muundo na arufu/manukato.

Kiasi kwa mtu makini ukinukia hiyo sabuni tu anajua Mzee umelala Guest.

Hii ni fursa kwa wazalishaji wa sabuni kubadili hilo soko na kuboresha huduma.

Wale wazee wakubeti wengine huwa wanaoga bila kutumia hizo sabuni wakiogopa kunukia kale kaharufu.

Tumia fursa
 
Vi guest kama vyama vya upinzani Tanzania vinaigana na kuungana hata mambo ya kipuuzi tu

State agent
 
Wazee wa kubet.........umenifurahisha!
 
Tumia Mfumo wetu wa 4-4-2 tunautumia sana tuliooa unakatumia unapoingia kabla ya game ..ukimaliza unaoga bila sabuni Halafu unajimwagia bia..unakuwa unanuka nuka bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…