usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 327
Kama wewe ni Msafiri sana wa maeneo mbali mbali na una lala katika Guest za kiafrika.
Tutakubaliana kuwa karibu maeneo mengi nyumba vyao vina sabuni za aina moja kwa muundo na arufu/manukato.
Kiasi kwa mtu makini ukinukia hiyo sabuni tu anajua Mzee umelala Guest.
Hii ni fursa kwa wazalishaji wa sabuni kubadili hilo soko na kuboresha huduma.
Wale wazee wakubeti wengine huwa wanaoga bila kutumia hizo sabuni wakiogopa kunukia kale kaharufu.
Tumia fursa