Kufananisha Utaratibu wa Majeshi ya nchi zingine na wa Tanzania ni Upumbavu usiovumilika

Waii nchi onauzwa huko wanyama wanatoroshwa Kila siku wao wanahangaika na sare
 
Genta wa genta[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naandika nafuta,naandika tena nafuta ngoja ninyamaze tu kwani mdomo unisaidie kula tu na si vinginevyo
 
Naandika nafuta,naandika tena nafuta ngoja ninyamaze tu kwani mdomo unisaidie kula tu na si vinginevyo
Baadhi ya wafrika hawajui sheria ndiyo maana wakiona polisi na wanajeshi wanatetemeka.
Mimi naweza kuvaa sare za jeshi (siyo mwanajeshi) au za polisi (siyo polisi) nikaja kwako nikakuambia unahitajika kwenye kituo cha polisi. Bila kuhoji kitu chochote ukanifuata kumbe ni jambazi sugu.
Hata kama una sare za jeshi, bunduki n.k hapo anatakiwa aje kukamata polisi (siyo jeshi), utakamatwa, utapelekwa mahakamani na utashitakiwa kwa mujibu wa sheria. Kama utaenda kufungwa au kutoa faini ni sawa.
Unachukua jeshi unapeleka uraiani kukamata mwananchi mwenye nguo zinazofanana na jeshi ambaye hana hata bunduki. Hayo ni matumizi mabaya ya nguvu
Majeshi yote ya kiafrika hunyanyasa na kutesa raia pasipo sababu.
Ni sawa na yule mkuu wa mkoa fulani aliyenda kuchapa wanafunzi.
 
mnawalisha vyakula vya bure mwisho wanakosa kazi za kufanya.wanaanza kuwaza upuuzi.hyo minguo mnaona ya thamani sana?wakat al shabab wanachungia mbuzi
 
Hiyo imekuja kimkakati kuzima ishu ya bandari
 
HAPOHAPO ILI DAWA IWANINGIE KENGE HAWA MAMBO YA SIRI ZA USALAMA WANATAKA KUJADILI WATULETEE WAKE ZAO KWANZA TUWAJADILI
 
Akili za kitumwa! Siku mwafrika akijitambua atapiga hatua ila kwa sasa tuendelee na huu upuuzi tuliozoea!
HATUA YA KWANZA NA MHIMU KULIKO ZOTE NI KUKATAA UPUMBAVU WA KUAMINI MUNGU WA WAZUNGU NA WAARABU TUKIFANIKIWA HAPO TUMEPONA nje ya hapo ni maigizo tu
 
UKIPIGWA HUTANUNUA TENA NA ANAYEVIAGIZA HATALETA TENA KWAKUWA HAVITANUNULIWA NA HESHIMA ITAKUWEPO
 
UKIPIGWA HUTANUNUA TENA NA ANAYEVIAGIZA HATALETA TENA KWAKUWA HAVITANUNULIWA NA HESHIMA ITAKUWEPO
nipigwe kwa kwa kuwa na kalamu ya mabaka yanayofanana na kombati ya jeshi huyo mwanajeshi anayenipiga atakuwa ni mwendawazimu. Kwanza elewa kuwa hizo bidhaa bado zipo mitaani zinauzwa, si bidhaa za kijeshi, hizo rangirangi ni marembo tu
 
Mmekalia ujinga ujinga,mnajeshi Gani hatari kwamfano.
Kazi tu kuonea watu.
Wanatoa mifano,Kwa majeshi yenye hadhi ya juu.mnataka muwe kama kina Ndugai na Bunge.
Oh umelitukana Bunge ni dhaifu,kwani matendo yako si ndio kipimo.
Mambo ya maana hamyawezi,ila mnadili na mambo madohomadogo yasiyokuwa na tija.
Taasisi mfirisi ni nyingi.

Majeshi mengine yanadili na kujiingizia kipato Kwa taifa.
Mfano,waigizaji wanaweza kuigiza hata ndani ya kambi na kutumia vifaa vya kijeshi katika maihizo na jeshi linaingiza mkwanja mlefu tu.
Kwenu mnaliona Hilo?.
Hamnaga ubunifu wowote,sanasana mnakuwa wangoja mishahara tu🤔.
Msipoiga mtafanya nn nyinyi na hamnaga ubunifu.

Mtutolee ujinga wenu huko.
Mnataka kuogopwa kwenye hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…