Kufanikiwa kwa Diamond Platnumz kuwa tajiri wa kwanza duniani lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi matajiri wafuatao

Samahani una ELIMU GANI, kwani ungeandika kuwa diamond akiweza kuwekeza kama Bakresa nusu ya utajilinwake ingekuwa vibaya sasa Elon musk unamjuaje ww kwani
 
Unapoamua kupambana kufikia levo ya juu usijipime kupitia washindani au watu wa pembeni yako Bali shindana na jana yako ilivyokuwa.. Mond anaweza fika hapo bila kumwangalia yyte kati ya hao
Lazima awazidi ili Forbes wampe taji
 
Unapoamua kupambana kufikia levo ya juu usijipime kupitia washindani au watu wa pembeni yako Bali shindana na jana yako ilivyokuwa.. Mond anaweza fika hapo bila kumwangalia yyte kati ya hao
Ivi unachukuliA poa hayo mambo kwa yeye bado sana wangesema wa kina Rick rose ambao wanaelekea huko mtu kutoka Africa ni ngumu sana
 
Kwa diamond kufikia jina duniani, apamnane sana ikibidi atumie ndumba
 
Mama akili ndogo sana.
Diamond hakusemabatakuwa tajiri namba Moja bali alisema ana "ndoto"
1. Ndoto inaweza kuwa ya mchana sio lazima itimie

2. Ndoto inaweza kutokana na mihangaiko ya kutwabsio lazima iwe halisi..
Mafy yenu😆
 
Labda kama ana Bitcoins alizificha sehemu😃. Kwa sasa apambane kumtoa Mo Dewji pale juu then Aliko Dangote afate.
Hivi ulifanikiwa kimwona Diamond wa miaka 12 iliyopita?

Ungeweza kuamini kuwa atakuja kuwa msanii namba Moja mwenye mafanikio makubwa?
 
Ni ndoto za kipuuzi hizo. Yaani anaacha kusema awe tajiri namba moja tanzania yeye anasema atakuwa tajiri namba moja duniani
Kanuni mojawapo ya kufanikiwa ni kuwaza pakubwa.

Mwalimu wetu sekondari aliwahi kutuambia unapoingia kwenye mtihani hata kama uwezo wako mdogo ingia na mawazo ya mimi naenda kupata 100. Anasema ukishindwa unaweza angukia kwenye 80 au 70 which is not a bad result pia.

Kuna Mo, Bakhresa, Dangote lakini yeye kamtarget Elon Mask. Unaelewa maana yake?

Jinsi unavyoishape akili yako ndivyo unavyokua. Kibaya kusimamia maono yako hicho kipaji sio wote tunacho.
 
Watanzania mmerogwa na nani? Hamna kitu kinashindikana kwa wapambanaji
Yaani unataka kufananisha usingizi na kifo ivi Hilo swala unalichukuliaje mkuu? Yaani kwa hapa tanzania bado hajashika io nafasi na kwa Africa bado alafu awe duniani iv mkuu unaweza ukazaliwa ukatembea? Hio
 
Watanzania mmerogwa na nani? Hamna kitu kinashindikana kwa wapambanaji
Akishamalizana na MO na Bakhresa tutaendelea mbele, kwasasa apambane nao kwanza ila kumfikia Elon nikama alivuta bange mbichi siku hiyo akitangaza
 
Ngoja siku aumwe serious ndo tutajua ni tajiri or not.
 
Mpaka sasa elon anatengeneza USD 765 , sawa na TSh 2,000,000 kwa sekunde. Huyo Diamond anatengeneza ngapi kwa sekunde ili tuone kama anakuja kwenye utajiri nambo moja duniani!!!
 
Mpaka sasa elon anatengeneza USD 765 , sawa na TSh 2,000,000 kwa sekunde. Huyo Diamond anatengeneza ngapi kwa sekunde ili tuone kama anakuja kwenye utajiri nambo moja duniani!!!
Kadiri anavyochelewa kuanza uwekezaji ndivyo Elon anavyozidi kusonga mbele
 
Apambane na akina Dewji kwanza🤣 hao kina elon ni ligi nyingine. Na pia awekeze kwenye Bitcoins ili asogee haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…