Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani
Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia
Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi uwekezaji wa matajiri wafuatao
Elon Musk
$195 B
Automotive
Jeff Bezos
$194 B
Technology
Mark Zuckerberg
$177 B
Technology
Larry Ellison
$141 B
Technology
Warren Buffett
$133 B
Finance & Investments
Bill Gates
$128 B
Technology
Steve Ballmer
$121 B
Technology
Mukesh Ambani
$116 B
Diversified
Larry Page
$114 B
Technology
Sergey Brin
$110 B
Technology
Michael Bloomberg
$106 B
Finance & Investments
Nihitimishe kwa kusema kuwa kijana wetu Platnumz akiweza kufanya uwekezaji unaowazidi manguli hao niliowataja basi Forbes itamvalisha taji la tajiri wa kwanza duniani