Kufanikiwa kwa Diamond Platnumz kuwa tajiri wa kwanza duniani lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi matajiri wafuatao

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani

Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia

Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi uwekezaji wa matajiri wafuatao

Elon Musk
$195 B
Automotive

Jeff Bezos
$194 B
Technology

Mark Zuckerberg
$177 B
Technology

Larry Ellison
$141 B
Technology

Warren Buffett
$133 B
Finance & Investments

Bill Gates
$128 B
Technology

Steve Ballmer
$121 B
Technology

Mukesh Ambani
$116 B
Diversified

Larry Page
$114 B
Technology

Sergey Brin
$110 B
Technology

Michael Bloomberg
$106 B
Finance & Investments

Nihitimishe kwa kusema kuwa kijana wetu Platnumz akiweza kufanya uwekezaji unaowazidi manguli hao niliowataja basi Forbes itamvalisha taji la tajiri wa kwanza duniani
 
Kha..taifa lina safari ndefu sana hili..
 
Ila kuna watu hamna kazi za kufanya kwakweli.

Yaani umeacha shughuli zako unawaza ndoto ya Diamond kuwa tajiri no.1 duniani, na unaona inawezekana?

Kuku anawaza kuwa mwogeleaji bora kuwazidi Bata wote na wewe eti na akili zako unakubaliana na ndoto hiyo? Hovyo kabisa.
 
mimi nawaona wapumbavu wote walioamini kauli ya diamond ya kuwa tajiri zaidi duniani..sote tunafahamu diamond ni mtu wa drama anaependa kuvuta attention za watu kutrend mjini yaani watu wamuongelee yeye tu hivyo anakuza brand yake...na jamaa kafanikiwa pakubwa sana kwa hii kiki yake maana mijitu imeingia kingi kichwa kichwa na ndicho alitaka..huyo mond mjanja sana kwenye marketing.!
 
Ni ndoto za kipuuzi hizo. Yaani anaacha kusema awe tajiri namba moja tanzania yeye anasema atakuwa tajiri namba moja duniani
 
Tanzania nayo inamtaka awe na uwekezaji unaozidi wa Bakhresa na MO
 
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani

Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia

Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi uwekezaji wa matajiri wafuatao

Elon Musk
$195 B
Automotive

Jeff Bezos
$194 B
Technology

Mark Zuckerberg
$177 B
Technology

Larry Ellison
$141 B
Technology

Warren Buffett
$133 B
Finance & Investments

Bill Gates
$128 B
Technology

Steve Ballmer
$121 B
Technology

Mukesh Ambani
$116 B
Diversified

Larry Page
$114 B
Technology

Sergey Brin
$110 B
Technology

Michael Bloomberg
$106 B
Finance & Investments

Nihitimishe kwa kusema kuwa kijana wetu Platnumz akiweza kufanya uwekezaji unaowazidi manguli hao niliowataja basi Forbes itamvalisha taji la tajiri wa kwanza duniani
Mada nzuri sana imetulia, nasoma comment
 
Ule ni mtizamo TU ila tukija kwenye uhalisia Diamond kaachwa mbali sana na hao matajiri kwahio kuwa tajiri Namba Moja ACHA ibaki ndoto tu
 
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani

Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia

Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi uwekezaji wa matajiri wafuatao

Elon Musk
$195 B
Automotive

Jeff Bezos
$194 B
Technology

Mark Zuckerberg
$177 B
Technology

Larry Ellison
$141 B
Technology

Warren Buffett
$133 B
Finance & Investments

Bill Gates
$128 B
Technology

Steve Ballmer
$121 B
Technology

Mukesh Ambani
$116 B
Diversified

Larry Page
$114 B
Technology

Sergey Brin
$110 B
Technology

Michael Bloomberg
$106 B
Finance & Investments

Nihitimishe kwa kusema kuwa kijana wetu Platnumz akiweza kufanya uwekezaji unaowazidi manguli hao niliowataja basi Forbes itamvalisha taji la tajiri wa kwanza duniani

Ukweli lazima usemwe huyo Trump tu ambaye ni Bilionea kwenye forbes anashika namba 1400+ huko ,ambaye trump anamiliki ndege za kutosha ,ana miliki trump towers za kutosha ,ambapo ukichukua trump tower moja ni sawa na utajiri wote wa dayamondi na chenji inabaki.....Haya tukija kwa Aliko Dangote huyo Trump anaingia karibia mara 5.

Tuanze kumshauri Dayamondi aanze kushindana na kina Tarimba /Fred Vinja bei ,kusaga akimalizana na hao ashindane na kina MO ,bakhersa etc
 
Hivi karibuni tumemsikia Diamond Platnumz akituelezea kuwa ndoto yake kubwa ni kuwa tajiri wa kwanza duniani

Kwakweli ni ndoto nzuri sana ambayo kila binadamu angetamani kufikia

Napenda kumfungua macho ndugu Platnumz kuwa ili awe tajiri wa kwanza duniani ni lazima afanye uwekezaji mkubwa unaozidi uwekezaji wa matajiri wafuatao

Elon Musk
$195 B
Automotive

Jeff Bezos
$194 B
Technology

Mark Zuckerberg
$177 B
Technology

Larry Ellison
$141 B
Technology

Warren Buffett
$133 B
Finance & Investments

Bill Gates
$128 B
Technology

Steve Ballmer
$121 B
Technology

Mukesh Ambani
$116 B
Diversified

Larry Page
$114 B
Technology

Sergey Brin
$110 B
Technology

Michael Bloomberg
$106 B
Finance & Investments

Nihitimishe kwa kusema kuwa kijana wetu Platnumz akiweza kufanya uwekezaji unaowazidi manguli hao niliowataja basi Forbes itamvalisha taji la tajiri wa kwanza duniani
Kwa purchasing power ipi? Labda ahamie USA kwanza kama Elon
 
Mkuu una mke halali. Kama hauna tafuta mke uwe na ndoa halali kwanza alafu ndotuje kuongea kuhusu diamond
 
Ni vizuri sanaaa.....kuota mdoto mchana......safari ipo tu ajipange
 
Unapoamua kupambana kufikia levo ya juu usijipime kupitia washindani au watu wa pembeni yako Bali shindana na jana yako ilivyokuwa.. Mond anaweza fika hapo bila kumwangalia yyte kati ya hao
 
Back
Top Bottom