Monty de Hunterz
New Member
- Dec 25, 2020
- 1
- 0
Habari yako mwana JF
Leo nimekuja na uzi wa kujadili "hasara na faida za marafiki katika mafanikio yetu". Kama tunavyoelewa watu ambao tunakaa nao kwa muda mrefu ni marafiki zetu, je Wana chachu gani katika maisha yako? Kuwa na marafiki wengi kuna faida gani au hasara gani?
Karibuni mchangie