Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Leta mbinuUmeamua ufukue hili kaburi mwenyewe
Hata najua basi mkuu😂Leta mbinu
SawaHata najua basi mkuu😂
Ngoja nikupe mchongo wa ujanja ujanja kama ulivyosema upo tayaliSawa
Elimu yangu hii ya darasa la saba inafaa?Sasa mkuu hiyo janja janja yenyewe si ndo akili? Yaani ni lazima utumie akili kufanya ujanja.
Kufanikiwa ni very secret issue haambiwi kila mtu hata wewe mwenyewe haujiambii umefanikiwa vipi maana kufanya hivyo ni sehemu ya kujisaliti wewe mwenyewe kwa hio wengi unaishia kuona wanapiga soga za uongo uongo tu kafukua hapa kafukia pale basi ndio hivi nikafanikiwa ukimpiga maswali magumu ukampigia calculations ukamleta kwenye uhalisia unagundua huyu hamna kitu ndio wale wale wajanja wa mjini wizi upo kwenye damu bonge la suti gari kali ila mwiziNami nipo hapa kutafuta hiyo janja janja ili nifanikiwe; mambo ya kufundisha wanafunzi miaka 30 nikiwa na IST huku wao wakifanikiwa na kunizidi sitaki.
Mdogo wangu Iko hiviNisaidieni mbinu za kufanikiwa