Wakuu kwema?
Poleni na majukumu leo Mimi nilienda Kariakoo japo mimi ni mgeni hapa dar nazunguka hivyo hivyo kwa kuulizia.
Nilikuwa naomba ushauri nilikuwa Nina wazo la kuuza mayai ya chemsha kariakoo kwa kuzungusha je Kuna kibali cha kuniruhusu au naweza fanya bila shida Kama hao wanaouza machungwa hapo?