Kufanya biashara na mkeo inachekesha na inapendeza

Mke anakudai mpaka ahadi ya zawadi yeye anaandika deni. Ada ya watoto wa kwake akilipa kwa hela yake anakuwa amekukopesha na hupaswi kuuliza kitu! Strange are women!
 
Mke anakudai mpaka ahadi ya zawadi yeye anaandika deni. Ada ya watoto wa kwake akilipa kwa hela yake anakuwa amekukopesha na hupaswi kuuliza kitu! Strange are women!
Inapendeza sana.Kwa kauli yako hii naamini tayari umeshaoa.
 
Mkuu ukiishiwa utaziona rangi zao. Ukiwa na hela wenzako wanaishi kama wapo location ku act movie! Watajifanya wanapendana wao kwa wao na wapo radhi hata ulale nao wote kitanda kimoja!
Siku ukifa au kuugua kwa muda mrefu, utaona vile watakavyo fuja na kugawana mali.

Ukiwa na wake wengi upendo wako wekeza kwa wanao. Wakutanishe kila inapobidi na chukua mtoto wa mke mkubwa peleka akaishi kwa mke mdogo na wa mke wa kati peleka kwa mke mkubwa and vise versa hapo utatengeneza combo nzuri kwa wanao na hatabaguana hata ukifa.
Mimi nimepitia huko nauzoefu wa kutosha.
 
Haa!.Kwani umewahi kufa ?,Lakini nimejifunza kupitia uzoefu wako huu
 
Hivi viumbe havitabirik kbs mkuu. One day mamb yakikuendea komb wata change kbs .

Nikupe ushauri WA bure .
Usiruhus Biashar zako zot ziendeshe WA wake zao. One day utakumbuk huu ushaur Kam ukiupuuza
 
Yataka moyo sana kufanya biashara na mke wako , maana hawa viumbe wana wivu sana
 
Haa!.Kwani umewahi kufa ?,Lakini nimejifunza kupitia uzoefu wako huu
Teh! maskhara hayo mkuu!
Anyway chukua ngano, mashudu tia kwa trashbin.
Na hii ndo JF...!
 
Hivi viumbe havitabirik kbs mkuu. One day mamb yakikuendea komb wata change kbs .

Nikupe ushauri WA bure .
Usiruhus Biashar zako zot ziendeshe WA wake zao. One day utakumbuk huu ushaur Kam ukiupuuza
Nimekufahamu na nina uzoefu wa hicho unachokihofia.Zaidi nilichokusudia ni biashara baina yetu mimi nikiwa mteja wao.Mimi binafsi nina biashara zangu nyengine na wala matumizi ya nyumbani sitegemei hizo biashara zao.
Hata siku moja usitegemee matumizi ya nyumbani kwako kuendeshwa na biashara ya mwanamke.Baki mteja wao tu kama hivi mimi.Tena uwe mteja mfano wangu.Usihoji bei na kuweka kumbukumbu. Iwapo unazo mfukoni akikudai toa tu.
Mwanamke kaumbwa kupokea kutoka kwa mumewe.Sio kutoa iwe ndio ratiba ya maendesho ya nyumba.Mwanamme ukiishiwa ikabidi upokee kutoka kwa mwanamke si haramu lakini ifanye ni dharura na harakisha kutafuta shughuli ya kufanya
 
Wakarimu kwasababu unahela umewafungulia biashara,hawana njaa.Asa Nyie msio kuwa na hela mjindanganye kuufata huu ushaur mtajutaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…