Kufanya biashara na ndugu ni hatari kubwa

ndio umeandika nn sasa😂😂😂😂
 
Wakuu kwayaliyo nikuta najuta kufanya biashara na ndugu yangu wakuzariwa kwa mama mmoja.
Hata muwe baba na mama mmoja...uangalifu ni lazima.
-----
Chansingi...kama ulikuwa unampango wa kumsaidia (Ulianzisha biashara kwa ajiri ya kumuwezesha kupata naye kipato)...mkabidhi biashara hiyo kwa muda maalumu atafute mtaji wake na muda ukiisha akurudishie biashara yako, na hapo jamii haiwezi kukulaumu na yeye lawama zake kwako na laana haviwezi kukupata kamwe hata na za wazazi haziwezi kukupata pia. Maisha yataendelea kwa Raha mustarehe!! Bila sitireesi! karibu kufuata ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…