Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,723
- 7,408
Bado ajamaliza kulia. Akimaliza ataeleza ndugu sio wa kushirikiana ktk ishu yoyote ya fedha. Labda kama una Pesa za kufurahisha ndugu zako.elezea mkuu nini kimetokea
Ndio Maana apa mjini unaweza ukakuta kiwanja kipo sehemu nzuri akijaendelezwa, lakini ukiuliza unakuta ndugu wamepelekana mahakamani kwa sababu wameshindwa kuafikiana