Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Type kisa kizimaWakuu kwayaliyo nikuta najuta kufanya biashara na ndugu yangu wakuzariwa kwa mama mmoja.
Wamekubamiza buraza?.Haupo peke yako mkuu, ni majanga kwakweli
Wee acha tu yna4 ni makubwa, mwisho wa siku mnaitwa kwenye kikao cha familia/ukoo unaambiwa uachane na hayo mambo uwasamehe ndugu zako! NimekomaWamekubamiza buraza?.
usinikumbushe ndugu yangu1.6M haijulikani ilipo ndugu hawa hovyo sana. Bora mtu baki utampeleka hata kwa pilato.Wakuu kwayaliyo nikuta najuta kufanya biashara na ndugu yangu wakuzariwa kwa mama mmoja.
Ni hatari kwa afya ya akili hawa ndugu weusi.Ndugu wa kitanzania (weusi) usithubutu narudia usithubutu kushare nao biashara! Watakuua kwa msongo wa mawazo!
Ni mentality tunayojijengea... Your thoughts are the key driver to your life yaangalie sana mawaza yako na yafanye yawe +VeNdugu ngozi nyeusi ni majanga.
Wameondoka na hela ya mauzo ya wiki nzima pamoja na funguo za banda LA biashara.Mbona hamsemi hao ndugu walifanyaje?
Pole sana mkuu. Ila nadhani cyo ndugu wote wako hivyoWameondoka na hela ya mauzo ya wiki nzima pamoja na funguo za banda LA biashara.
Wakuu kwayaliyo nikuta najuta kufanya biashara na ndugu yangu wakuzariwa kwa mama mmoja.