Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Hata hivo ww mwenyewe una moyo hadi umeenda kuchekea chooni maana mm ningecheka hadi mbavu zingepinda na angeniona mkudaa kweli daaa MPE pole sana jamaaa hii ndo dalusaaalaam
[emoji121]
MKUU,
ACHA KABISA!

UNAWEZA UKACHEKA HADI AKAHISI WEWE NDIYE M'BAYA WAKE!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Siku nyingne akitaka nguo nzuri ni bora akapoint tu
Na mabelo siku hzi majanga meng akiendelea kuchukua mabelo atapigwa saana
 
Yani hiyo laki 260 ni bora ungeenda kupoint nguo mojamoja pale ilala asubuhi wakati mzigo unafunguliwa halafu ndo ungeenda kuuza unakotaka
Ilala nguo bei kali
Aende Tandika kwenye mnada.
 
Yani hiyo laki 260 ni bora ungeenda kupoint nguo mojamoja pale ilala asubuhi wakati mzigo unafunguliwa halafu ndo ungeenda kuuza unakotaka
[emoji121]
TATIZO NI KUTOJUA MKUU.

NADHANI HALITAJIRUDIA!!!
 
Nenda kapoint nguo usichukue belo

Kuna nguo ya mtumba unaweza point kwa 5000 ila kimtaa mpaka 25000 unapiga tu mzee baba na hata viatu hvyohvyo
[emoji121]
KWA MADINI HAYA UNAYONIPS LAKI 3 YANGU SIENDI KUNUNUA BELO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…