Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Sorry Rebeca, hivi ukiwatumia hao DHL mzigo wako ukifika JNIA kutoka inakuaje...kuna mzigo wangu naambiwa upo pale wiki ya 2 hii alafu sijui process zikoje na ni first time kuwatumia hao DHL....mm nikajua mzigo unaenda mpaka kwa muhusika moja kwa moja!!!

mkuu tafuta office za DHL hapo Dar,mwambie mtu wako atafute hizo office zao,aende kuchukua mzigo,ila tegemea mizengwe,wamejaa rushwa,unaweza ukawa umemtuma mzigo wako kwa pesa nyingi hafu wanakuambia ulipe import tax,kwa kifupi sidhani kama utapata mzigo wako..ila unaweza jaribu bahati yako..tehe tehe
 
yani nimeshangaa sana, juzi ndio nimepigiwa simu kwamba mzigo haujafika...nimemuuliza kwann wananiambia mambo hayo hayo ya import tax sijui nini nini,
ss kama ndio biashara si mtu unapata hasara kidhembe hivi hivi,
Kuna dogo nimemwambia aende pale airport akacheki.....

tunakimbia kuagiza kwa meli sababu ya kuchelewa hawa wa flight nao ndio hivi....yani Tanzania hovyo sana,
Vijana tunajitahidi lkn serikali ni dhalimu hata kwa raia zake....pambafu kabisa.
 
[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,

ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mwenyewe ninacheka kama vile nayaona mapajama na viatu vya kushoto.Dhambii lakini
 
Aisee pole yake sana,.alitakiwa kufanya kautafiti kwanza japo kadogo juu ya akitakacho ukizingatia ni mgeni mjini hapa,.lakini na yeye alishindwa japo kuuliza jamanii??
 
Duh noma sana iyo. Kumbe kununua belo ni msala?
 
Sorry Rebeca, hivi ukiwatumia hao DHL mzigo wako ukifika JNIA kutoka inakuaje...kuna mzigo wangu naambiwa upo pale wiki ya 2 hii alafu sijui process zikoje na ni first time kuwatumia hao DHL....mm nikajua mzigo unaenda mpaka kwa muhusika moja kwa moja!!!
Kwa kawaida mzigo ukifika Destination huwa unapitia Customs ili Serikali ikupigie gharama za kodi (kama ni taxable goods)..

After that DHL wanakujulisha gharama unazopaswa kulipia, ukikubaliana nazo wanaweza kukulipia ili uwarefund wakati wanakupa mzigo, au wanakuelekeza namna ya kulipa kwa M-banking kisha wakicomfirm malipo wanakuletea au unaufata mzigo wako..

Mapendo,
TANMO.
 
Mkuu nguo za kilo Tano,ni kweli laki tano kuukomboa?
 
mkuu tafuta office za DHL hapo Dar,mwambie mtu wako atafute hizo office zao,aende kuchukua mzigo,ila tegemea mizengwe,wamejaa rushwa,unaweza ukawa umemtuma mzigo wako kwa pesa nyingi hafu wanakuambia ulipe import tax,kwa kifupi sidhani kama utapata mzigo wako..ila unaweza jaribu bahati yako..tehe tehe
Of all the courrier service providers in Bongo, DHL wako far better.

Niliwahi kuwatumia UPS kidogo niususie ule mzigo. Ulikaa miezi miwili mpaka naupokea, pamoja na magharama kibao..
 
Mkuu nguo za kilo Tano,ni kweli laki tano kuukomboa?
Hao ni Ma-CCM wanalazimisha ulipe hiyo kodi ndugu yangu. Wala siyo DHL.

Hapo DHL ni waunganishaji tu wa wewe na Serikali. Na uzuri hawanaga agent fee.

UPS walinichaji agent fee kufanya customs process, na bado wakanisukuma niende TRA kujieleza kuhusu mzigo. Na bado mzigo nikaupata after 60 good Days...

Pia kumbuka Bandari sasa imekauka mizigo, so hivi vimizigo vya DHL vimegeuka chanzo cha mapato kwa Ma CCM...
 
Si bora huyo.je wale waliopeleka korosho na mawe
 
Hiyo biashara ya mtumba tafuta kwa kupeleka sio mkoa wa Mtwara mkuu, mkuu wa mkoa ataki hata kuisikia.
 
[emoji121]
MKUU,

YAANI HATA MIMI MWENYEWE MOOD YA KUNUNUA BELO ISHANIISHIA!!!

WABONGO SIO WATU WEMA!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Ogopa sana kufanya biashara na wabongo kwasbb wanatamaa sana na hupenda utapeli. Yy kukutapeli anaona anapata pesa kumbe anaharibu biashara
 
[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,

ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Yahusu belo la viatu kuwa mguu mmoja, kushoto au kulia. Kuna jamaa hasara kama hiyo ilimkuta. Alipoulizia wazoefu akaambiwa kwamba aliuziwa belo la wizi. Yasemekana kuwa wasafirishaji huweka belo moja la viatu kiatu cha kushoto/kulia hivyo muagizaji wa jumla hufungua na kuvipanga upya katika store yake. Hufanya hivyo eti ili kukomesha wizi wa viatu.
 
Mpe pole sana.ajaribu kumpelekea lemutuz atanunua
 
Back
Top Bottom