antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kupigwa hivyo usawa huu inaumiza sana. Sijui kwanini watu tunakosa uaminifu katika biashara[emoji121]
ALINUNU 260,000/= KILA MOJA, KILOGRAMU 45.
kwa belo za mtumba dar bila kushikwa mkono na m2 kuna mawili upate mzigo mbovu kupindukia au ununue kwa bei juu sana kiasi faida usione madalali watakupiga bei cha kukusaidia cheki na huyu m2 +255736230008 atakupa ushauri na kukuelekeza aina belo ya kuchukua wapi inapatikana na mengne mengi katika tasnia ya mitumba coz ana uzoefu wa muda mrefu[emoji121]
WAKUU,
KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?
YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.
AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,
AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.
HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUisTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Dah na mdogo wangu anafungua pale Ilala Boma uhakika tajiri, bonge la Ustadhi na hautojuta.[emoji121]
WAKUU,
KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?
YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.
AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,
AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.
HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Magomeni wez tyuu pale ilala kaliakoo ndio kwenye uhakika[emoji121]
Kachukulia Magomeni mkuu.
Hahahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] Duuuh nime cheka sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna watu ni wauaji..
Belo tatu kimeo? [emoji28][emoji28]. Mapajama mixer mabukta mabwanga mixer kiatu ya kushoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli huku ndio Dasilamu
Mkuu mtumba unahitaji moyo sana kuuza wengi wanaouza ni biashara ya malikauli mzigo wa mahindi akiuza anampelekea pesa yake cha juu anachukua[emoji121]
WAKUU,
KUNA ALIYEWAHI KUFANYA BIASHARA YA NGUO ZA MTUMBA HUMU?
YAANI KUNA MWANANGU KATOKA ZAKE SINGIDA KAJA DAR KUNUNUA BELO 3 ZA NGUO ZA MTUMBA.
AMEFUNGUA YA KWANZA INA KAPTURA MABWANGA TU,
NIKAMPA MOYO KUWA LABDA LA PILI LITAKUWA POA,
AMEFUNGUA LA PILI LINA MAPAJAMA YA KULALIA MAKUBWA KAMA TURUBAI,
NIKAONA MWANA MACHO YASHAANZA KULENGA MACHOZI YA KIUME KWA MBALI-
NIKAMWAMBIA AFUNGUE LA TATU.
HILI LA 3 NI LA VIATU TU,
YAANI KARIBIA VYOTE NI VYA KUSHOTO TUPU!!!
KIUKWELI INATIA HURUMA HADI NIKALAZIMIKA KUINGIA CHOONI KWENDA KUCHEKA KWANZA!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
-------
SASA WAKUU KWA ANAYEJUA ZINAKOUZWA BELO GENUINE ZA MTUMBA ATUPE MWONGOZO,
MAANA'KE NAMI NILITAKA NIJILIPUE NIPELEKE MZIGO MTWARA NEXT WEEK,
ILA KWA NILICHOKIONA KWA MWANA NI VEMA NIVUTE SUBIRA KIDOGO!!
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu wewe hujawahi kupotea njia na kuuliza wasamilia wema? Kama ulishawahi kupotea njia mbona hukuuliza kabla hujaanza safari. Ukweli ni kwamba unaweza ukaelekezwa njia na bado ukapotea. Ndio maana unapokuwa safarini kama wewe ni mgeni eneo hili huwezi choka kuuliza wenyeji wakuelekeze unapokwenda hata kama wameshakuelekeza kabla. TUSIMLAUMU MSHIKAJI BALI TUMPE POLE NA USHAURI MZURI ILI NEXT TIME ASIFANYE MAKOSA TENA!Baada hasara ndo unakumbuka kuuliza
mie natakaa kujua ukituma mzigo kilo Tano kupitia DHL kutoka UK ni shilingi ngapi???maana nahisi hao DHL ni wezi sana,wanavaa nguo za watu walizoshindwa kuzikomboa....mie niliambiwa laki tano kwa mzigo huo,wakati hela ya kusafirishia nimeilipa,msaada wanajamii....
tumia posta
wapo fresh, japo wachelewa kidogoasante,nitafanya hivyo,nimejifunza.
Sorry Rebeca, hivi ukiwatumia hao DHL mzigo wako ukifika JNIA kutoka inakuaje...kuna mzigo wangu naambiwa upo pale wiki ya 2 hii alafu sijui process zikoje na ni first time kuwatumia hao DHL....mm nikajua mzigo unaenda mpaka kwa muhusika moja kwa moja!!!mie natakaa kujua ukituma mzigo kilo Tano kupitia DHL kutoka UK ni shilingi ngapi???maana nahisi hao DHL ni wezi sana,wanavaa nguo za watu walizoshindwa kuzikomboa....mie niliambiwa laki tano kwa mzigo huo,wakati hela ya kusafirishia nimeilipa,msaada wanajamii....
Kuna jamaa yangu yupo mnazi mmoja ndo biashara zake Kama unahitaji namba yake naeza kukutumia[emoji121]