paraphysychology
Member
- Jan 27, 2018
- 28
- 11
Sorry Rebeca, hivi ukiwatumia hao DHL mzigo wako ukifika JNIA kutoka inakuaje...kuna mzigo wangu naambiwa upo pale wiki ya 2 hii alafu sijui process zikoje na ni first time kuwatumia hao DHL....mm nikajua mzigo unaenda mpaka kwa muhusika moja kwa moja!!!
yani nimeshangaa sana, juzi ndio nimepigiwa simu kwamba mzigo haujafika...nimemuuliza kwann wananiambia mambo hayo hayo ya import tax sijui nini nini,mkuu tafuta office za DHL hapo Dar,mwambie mtu wako atafute hizo office zao,aende kuchukua mzigo,ila tegemea mizengwe,wamejaa rushwa,unaweza ukawa umemtuma mzigo wako kwa pesa nyingi hafu wanakuambia ulipe import tax,kwa kifupi sidhani kama utapata mzigo wako..ila unaweza jaribu bahati yako..tehe tehe
Mwenyewe ninacheka kama vile nayaona mapajama na viatu vya kushoto.Dhambii lakini[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,
ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa kawaida mzigo ukifika Destination huwa unapitia Customs ili Serikali ikupigie gharama za kodi (kama ni taxable goods)..Sorry Rebeca, hivi ukiwatumia hao DHL mzigo wako ukifika JNIA kutoka inakuaje...kuna mzigo wangu naambiwa upo pale wiki ya 2 hii alafu sijui process zikoje na ni first time kuwatumia hao DHL....mm nikajua mzigo unaenda mpaka kwa muhusika moja kwa moja!!!
Kwa kawaida mzigo ukifika Destination huwa unapitia Customs ili Serikali ikupigie gharama za kodi (kama ni taxable goods)..
After that DHL wanakujulisha gharama unazopaswa kulipia, ukikubaliana nazo wanaweza kukulipia ili uwarefund wakati wanakupa mzigo, au wanakuelekeza namna ya kulipa kwa M-banking kisha wakicomfirm malipo wanakuletea au unaufata mzigo wako..
Mapendo,
TANMO.
Of all the courrier service providers in Bongo, DHL wako far better.mkuu tafuta office za DHL hapo Dar,mwambie mtu wako atafute hizo office zao,aende kuchukua mzigo,ila tegemea mizengwe,wamejaa rushwa,unaweza ukawa umemtuma mzigo wako kwa pesa nyingi hafu wanakuambia ulipe import tax,kwa kifupi sidhani kama utapata mzigo wako..ila unaweza jaribu bahati yako..tehe tehe
Hao ni Ma-CCM wanalazimisha ulipe hiyo kodi ndugu yangu. Wala siyo DHL.Mkuu nguo za kilo Tano,ni kweli laki tano kuukomboa?
Alafu rafiki yake ameenda kumcheka chooni.Mmh Nimemuonea Huruma Jamani
Ogopa sana kufanya biashara na wabongo kwasbb wanatamaa sana na hupenda utapeli. Yy kukutapeli anaona anapata pesa kumbe anaharibu biashara[emoji121]
MKUU,
YAANI HATA MIMI MWENYEWE MOOD YA KUNUNUA BELO ISHANIISHIA!!!
WABONGO SIO WATU WEMA!!!
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Nipo Kigoma,natarajia kuja mjini naomba nitumie namba ya huyo mtu.Kuna jamaa yangu yupo mnazi mmoja ndo biashara zake Kama unahitaji namba yake naeza kukutumia
Yahusu belo la viatu kuwa mguu mmoja, kushoto au kulia. Kuna jamaa hasara kama hiyo ilimkuta. Alipoulizia wazoefu akaambiwa kwamba aliuziwa belo la wizi. Yasemekana kuwa wasafirishaji huweka belo moja la viatu kiatu cha kushoto/kulia hivyo muagizaji wa jumla hufungua na kuvipanga upya katika store yake. Hufanya hivyo eti ili kukomesha wizi wa viatu.[emoji121]
MI' MWENYEWE NIMEONA HURUMA SANA RAFIKI YANGU,
ILA NIKIYACHEKI MABWANGA, VIATU VYA KUSHOTO NA MAPAJAMA KICHEKO HAKIZUILIKI!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13]