Kufanya biashara na Wabongo yataka moyo; mwanangu amepigwa vibaya bidhaa za mtumba.

Ata mim nasubir majibu apa kwan nataka kutumiwa mzigo kutoka Thailand, so ukipata majibu naomba tufahamishane bidada
 
Kama hutojali ntakupa namba ya ndugu yang yupo MNAZI MMOJA ndo shughuli zake umtafute nadhan utakuja kunipa mrejesho kwanza hana tamaa atakuchagulia mzigo mzuri sana na utakuja kunishukuru tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mabwanga angewapelekia chuga kwa wagumu.inamaana apo jamaa waliua mtaji wake kwa kiasi kikubwa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna watu ni wauaji..

Belo tatu kimeo? [emoji28][emoji28]. Mapajama mixer mabukta mabwanga mixer kiatu ya kushoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli huku ndio Dasilamu
Hahaa unaweza kujinyonga ujue ... kuna umuhimu mkubwa wa kufanya research na kuwa na good network kabla haujaamua kutoa pesa zako nakununua bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo biashara ninayoipenda kuliko zingine na nimefanya maisha yangu yote......balo nzuri zipo Mnazi-mmoja ila zinataka uwe na watu hususan kama ndo unaanza.
.
.
Ukijifanya much know imekla kwako,ukienda nao poa wale vijana wao ukawalinda vizuri watakupa balo za maana na hazitakukata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Pole. Siku nyingine kabla hujatumiwa Mzigo nenda DHL ukapate ufafanuzi
 
Faiza fox aliuliza kwa nini Africa maskini?
Haya ndio majibu sasa

Sent from my SM using Tapatalk
 
ya kweli haya mkuu?
Kweli mkuu nimewai point gauni la 4000 mwaka 2012 ilikuwa mbeya, akalinunua sister ang mwenyewe. Alivyo fika nalo Dar, kuna siku wauza mitumba wakapita Ile wanalipuka bei na nguo zao , akawa crush kwamba mbona nguo zenu bei juu af za kawaida, sasa Ile ubishi akawatolea lile gaun .....aisee majamaa walikuwa tayari kutoa 30000 IL wwkauze ila lile gaun lilikuwa zuri Sana!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…