Kufanya biashara na wake wa wachungaji

Kufanya biashara na wake wa wachungaji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Shost alinipa hii kuwa kufanya biashara na wake wa wachungaji ni bingo, kwanza si wababaishaji pesa yako wa kikuahidi J5 itakuwa tayari huwa ndiyo ukweli.

Shost alinunua vitu on line kutoka Amzon na Alibaba, basi J'pili kama ya leo anakwenda kanisani na mzigo wa pochi na viatu. Si wake wa wachungaji tu hata wale wa mama wa umoja wa wanawake kanisani ni wateja wake wazuri.

Shost anafahamu namba za simu za mama pastor wote kutoka Kurasini mpaka Mbezi.

Vyuma vinakaza. ukipenda.
 
Wake wa wachungaji hongereni sana ,ila sasa Kwa upande wa pili yaani nazungumzia wachungaji wenyewe au wa kanisa Hawa watu ogopa zaidi ya ukoma, wakati naajiriwa benki fulani kama Afisa mikopo nilitahadharishwa kuhusu watu dini especially wachungaji na wazee wakanisa ,Kwa kipind kile kulikuwa na kesi nyingi sana kuwahusu kwamba wakikopa hawarudishi marejesho ...,2yrs later vuguvugu likawa limeisha baada ya watu kuwa wanawapotezea sasa mara nami nikapata mteja mchungaji wa kanisa fulani tena wakati namfanyia analysis nikamwambia nataka wewe ndo ubadili mtazamo wa watu kuhusu nyinyi maana hamkopesheki sasa akanijibu usijali mwanangu sitakuangusha Kwa sauti zile za kichungaji ...nikampa mzigo arnd 10m yaani rejesho la pili tu zikaanza story.....yaani i mpaka aibu kwahyo kuwa makini watu wa dini siku hizi dini wengi hutumia kama mwamvuli tu
 
Sky Eclat, uandishi wako hata haueleweki,, mara waters, kikiahudi, alioa sana, mamba za simu
 
Yet

Shost anapeleka pochi za laki mbili/tatu na kunacwengine wanalipia laki moja kila mwezi mpaka amalize deni
 
Sky Eclat, uandishi wako hata haueleweki,, mara waters, kikiahudi, alioa sana, mamba za simu
Nimerekebisha mkuu wangu, ninatumia simu ya kutochi Aspirin anasema vyuma vimekaza
 
Sawa madam wangu, mwambie Mkuu Asprin kuna mdau yupo tayari 'kumsaidia' majukumu mpaka atakaporecover!!
 
Swali la kizushi Sky Eclat ingawa laweza kuwa nje ya mada. Kama haifai niambie nije pm. Profession yako ni nani?
 
Back
Top Bottom